Mchezo wa Ligi Ya NBC 2025/2026 Yanga Sc dhidi ya Singida Big STars
Kipindi cha Kwanza kimekamilika Yanga wapo mbele kwa goli 2
Magoli ya Yanga yamefungwa na Prince Dube na Allan Okello.
Chuma ya 3 😁 linawekwa na Mudathir
Singida wanafanya mabadiliko ya wachezaji wa tatu.
Dakika 56, Yanga...
Uwanja wa Singida Black Stars ambao unazinduliwa leo na mechi ya kirafiki kati ya Singida BS dhidi ya Yanga SC
Leo, Machi 24, 2025, Singida Black Stars inazindua rasmi uwanja wao mpya uliopo Mtipa, Singida. Uwanja huu wa kisasa wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 5,000-7,000 umejengwa kwa...
Klabu ya Singida Black Stars imetangaza rasmi uzinduzi wa uwanja wao mpya wa kisasa unaoitwa Airtel Stadium, uliopo katika eneo la Mtipa, mkoani Singida.
Uzinduzi wa uwanja huo mpya wa klabu hiyo utafanyika Machi 24, 2025, mkoani Singida, ambapo watacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.