simba vs rs berkane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    Kocha wa zamani wa Simba, Pablo Franco aipa siri ya Ushindi Simba dhidi ya Berkane 'cheza kwa akili na siyo nguvu'

    Kocha wa zamani wa Simba, Pablo Franco ambaye anaifundisha Al-Qadsiah ya Saudi Arabia, alisema Simba inatakiwa kucheza kwa akili na siyo nguvu pekee. “Berkane ni timu yenye uzoefu mkubwa kwenye michuano ya CAF. Watachelewesha muda na watatumia mbinu nyingi kuvuruga kasi. Simba inapaswa kuwa na...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Mwana FA: Bao la Mama Fainali ni Milioni 30, Serikali kutangaza zawadi kubwa Simba wakitwaa Ubingwa CAF

    Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma, maarufu Mwana FA amesema kila bao litakalofungwa katika mechi ya leo dhidi ya RS Berkane litapata bonus ya TSh. Milioni 30. "Mama amenituma nije kufikisha ujumbe kuwa Bao la Mama hatua ya Fainali ni Milioni 30 na...
  3. R

    Zanzibar inaongozwa kwa misingi ya kidini zaidi, hawawezi kuruhusu kufukia vitu uwanjani, Lifanyike lolote mechi ichezwe Mkapa lasivyo tumekwisha

    Zanzibar wapo strict sana kwa kupenda kuonekana ni nchi ya dini, maamuzi mengi hufanyika kwa msingi wa dini katika mambo yao. Uwanja wao hawawezi kuruhusu kuufusha, kuingiza mapaka, kumwaga vitu vya ahabu, waganga waliovaa hirizi, n.k. kama tulivyozoea kuona kwa mkapa Mechi ichezwe kwa Mkapa...
Back
Top Bottom