Rais Samia ameipongeza Klabu ya Simba kwa ushindi walioupata katika mchezo wa mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) na kufuzu Nusu Fainali.
Kupitia salamu zake, Rais Samia amesema ushindi huo si tu kwamba umeleta furaha kwa mashabiki wa Simba, bali pia umechangia...