silver strikers

Silver Strikers Football Club is a Malawian professional football club based in Lilongwe, currently playing in the TNM Super League, the top division of Malawian football. The club was founded in 1977 as a social team for staff at the Reserve Bank of Malawi, hence the club's nickname The Bankers.
They have won 9 Malawi league titles, one Malawi National Championship, three Malawi FAM Cup and three Top 8 Cups.

View More On Wikipedia.org
  1. Its Pancho

    A deep analysis of yanga vs Silver Strikers..

    I salute you kinsmen Tumevuka makundi, tumeshinda Lakini kuna namna tujipange mapema sana huko mbele pagumu sana Dakika 45 za kwanza Yanga walionesha mchezo ambao tofauti kabisa na ule uliofanyika Malawi wiki iliyopita 1: Kulikuwa na kasi ya mchezo sana Wachezaji hawakukaa na mali ilikuwa...
  2. Chizi Maarifa

    Silver Strikers leo ikishinda nipigwe Ban mwaka huu wote

    Hii match tumeimaliza nje ya Uwanja. Na ubao unasoma tuna goals zisizopungua 3. Leo hawa madogo wanapigika kinyama hasa. Wameshakubali matokeo. Sisi tupo vizuri na tunaingia uwanjani kuwachakaza hasa. Wanayanga njooni kwa wingi ushindi ni kama pai 22/7 haibadiliki
  3. DonDonald

    FT: Yanga SC 2 - 0 Silver Strikers | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 25/10/2025

    Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Yanga SC jioni ya leo wataingia uwanjani kurudiana na timu ya Silver Strikers kutoka Malawi Katika mechi ya kwanza iliyofanyika jijini Lilongwe nchini Malawi, Silver Strikers waliibuka na ushindi wa goli moja kwa bila Je Yanga leo watapindua...
  4. Tate Mkuu

    Uongozi wa Yanga na wachezaji mna cha kujifunza kupitia hizi dharau na kejeli mnazo fanyiwa na timu ya Silver Strikers ya Malawi

    Kwanza nitoe pole kwa mashabiki na wanachama kwa kipindi hiki kifupi na kigumu tulichopitia tangu timu ilipokuwa chini ya kocha aliyetimuliwa Romain Folz. Kocha huyu alikuwa hana uzoefu wa kutosha kufundisha timu kubwa kama Yanga. Na matokeo yake tuliyaona kwenye mechi alizozisimamia. Moja ya...
  5. Vincenzo Jr

    FT: Silver Strikers 1-0 Yanga SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Bingu National Stadium| 18.10.2025 | Saa 10:00 Jioni

    Silver Strikers vs Yanga SC Saa 10:00 jioni Leo ni siku nyingine ya Wananchi kufurahi #CAFCL Soma Pia>> Rasmi ndoa ya yanga na Folz yafikia ukomo
  6. DuaZaMama

    Kikosi cha Yanga kilichosafiri kuelekea Malawi kumenyana na Silver Strikers

    Kikosi cha mabingwa wa Tanzania Bara Yanga, kimeondoka jijini Dar es Salaam leo Alhamini, Oktoba 16, kuelekea Malawi tayari kwa mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi wa pili Ligi ya Mabingwa Afrika, utakaopigwa keshokutwa Jumamosi, Oktoba 18. Mshindi wa jumla wa mchezo huo atatinga hatua ya...
Back
Top Bottom