Wana JF,
Wengi sisi ni wafanyakazi sehemu na idara mbalimbali. Kesho ni siku yetu ya kufurahia na kukumbushia haki zetu.
Kama mfanyakazi ni kitu gani kinakufurahisha kwenye kazi yako.
Kwa mimi ni ile recognition ya msimamizi wangu eneo la kazi.
Je wewe?