Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ametangaza kuwa maadhimisho ya Siku ya Samia mwaka huu yatakuwa ya kipekee na ya kitofauti.
Amesema kesho Juni 3, 2025, badala ya kukusanya watu wote ukumbini kama walivyokuwa wanafanya, kwa kesho siku hiyo itaadhimishwa kila kata katika Mkoa wa Dodoma...
Wakuu,
Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa?
Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo ofisini kama msumeno wako unakata sehemu moja tu wengine haufiki?
Pia soma: Kutakuwa na sare ya wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.