Vyombo vya habari na waandishi wa habari wameshauriwa kuepuka kutumia lugha za chuki, uchochezi au zinazoweza kugawa jamii kwa misingi ya ukabila, dini au itikadi katika kipindi hiki cha kuelekea kampeni za uchaguzi.
Soma pia: ZEC: Vyama Visivyosaini Maadili ya Uchaguzi Havitaruhusiwa Kufanya...
Mtiania urais wa Zanzibar kupitia Chama Demokrasia Makini, Ameir Hassan Ameir (kushoto), amesema iwapo atapitishwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na kupata ridhaa ya wananchi kuwa Rais, kila Mzanzibari atalipwa Sh500,000 kwa mwezi ili kuondoa daraja lililopo la wenye nacho, kwa kuwa wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.