siasa safi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Anna Mghwira; Siasa safi, mama mwema anayeishi

    ANNA MGHWIRA, SIASA SAFI, MAMA MWEMA ANAYEISHI. Ukiachana na Televisions kadhaa ambazo nilizowahi kufanya nazo kazi, mitandao ya kijamii imenisaidia kwa asiliamia zaidi ya 90 kunikutanisha na watu maarufu, na muhimu katika Taifa letu. Kwangu mimi Suphian, Mitandao ya kijamii ni Ofisi kama Ofisi...
  2. Taifa lisilo na siasa safi na viongozi bora haliwezi kujali maslahi ya wananchi wa kawaida

    Wananchi wa kawaida ni wananchi ambao katika jamii ya Tanzania ni watu ambao wapo katika kundi ambalo wanaishi maisha duni. Hawa ni watu ambao kipato chao sio cha uhakika na hivyo hata uhakika mlo mmoja ni nadra kuwa nao. Kama ni wafanyabiashara ni wale ambao hata mtaji wa buku tano ni ngumu...
  3. Ili kuinua uchumi wa Taifa kwanza inatakiwa kuwa na utawala bora na siasa safi

    UCHUMI NA BIASHARA: Kwakweli serekali ya Tanzania ya awamu ya sita Ili kuinua uchumi wa Taifa kwanza inatakiwa kuwa utawala Bora siasa safi, Amani ya kwa wote usawa, ukusanyaji wa kodi ,elimu Bora, afya nk 1. Uchumi: Suala la uchumi inatakiwa iangaliwe kwa jicho la karibu na elimu itolewe kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…