siasa na jamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania ya Leo: Taifa Lenye Watu Wazima Lakini Akili za Chekechea

    Kuna hali ya kusikitisha inayoendelea kukomaa katika jamii ya Kitanzania, hali ambayo si rahisi kuitambua kwa haraka kwa sababu ina sura ya “uwezo mdogo wa kiuchumi” lakini chanzo chake kiko ndani zaidi: mtazamo wa kiakili wa kutegemea. Mtazamo huu umejengeka polepole kupitia historia, mfumo wa...
  2. Rais Samia awateua Lukuvi, Bulembo, Balozi Luhwavi na Omar Kheir kuwa Washauri wa Rais Siasa na Uhusiano wa Jamii

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi Washauri wa Rais wafuatao:- (i) Amemteua Mhe. William Vangimembe Lukuvi (Mb.) kuwa Mshauri wa Rais (Siasa na Uhusiano wa Jami). Mhe. Lukuvi ni Mbunge wa Jimbo la Ismani, Iringa; (ii) Amemteua Bw. Abdallah Bulembo...
  3. N

    Tatizo la ajira linaendelea kutatuliwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema tumshukuru sana Rais Samia Suluhu kwasababu alipoingia madarakani aliamua kwanza kufungua fursa za ajira nchi nzima alitoa vibali vya ajira zaidi ya elfu 55 nchi nzima. Lakini pia aliongezea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…