si utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Numetumiwa ujumbe na Yas kuwa kuwa nimezawadiwa GB 8 bure, lakini 30 mbona sizioni kwenye salio?

    Mnatupeleka wapi Muache kututumia msg za ajabu enyi yas Kwanza mnaatuma msg weka hela kuanzia bk 2000 tar flan tunaweka bk 5 Hakuna cha zawadi wala mawadiiii Sasa mnantumia niimepata gb 8 hizo gb za wifi ama??mbona sizioni?????? EnyiYAS ACHANENI NA HAYA MA MSG TUMECHOKA
  2. Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini

    Kama mada inavyojieleza, katika harakati zangu za kutafuta side hustle nlikutana na hiyo idea ya forex. Ila baada ya kufanya research matokeo yalikuwa negative especially kwa hapa JF. Inavyoonekana kuna watu washalizwa kupitia forex na wanaishi na hiyo trauma. Maada yoyote inayozungumzia hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…