Watu sita wamefariki baada ya ndege ndogo ya shirika la misaada ya matibabu kuanguka katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, kulingana na afisa wa eneo hilo.
Charity Amref Flying Doctors wamesema kuwa ndege ya Cessna ilipaa kutoka uwanja wa ndege wa Wilson siku ya jana Alhamisi alasiri, Agosti 7...