The Israel Security Agency (ISA; Hebrew: שֵׁירוּת הַבִּיטָּחוֹן הַכְּלָלִי, romanized: Sherut haBitaẖon haKlali, lit. 'the General Security Service'; Arabic: جهاز الأمن العام, romanized: jihāz al'amn al`ami), better known by the acronyms Shabak (Hebrew: שב״כ; IPA: [ʃaˈbak] ; Arabic: شاباك) or Shin Bet (from the abbreviation of Sherut haBitaẖon, "Security Service"), is Israel's internal security service. Its motto is "Magen veLo Yera'e" (Hebrew: מָגֵן וְלֹא יֵרָאֶה, lit. 'the unseen shield'). The Shin Bet's headquarters are located in northwest Tel Aviv, north of Yarkon Park.
It is one of three principal organizations of the Israeli intelligence community, alongside Aman (military intelligence) and Mossad (foreign intelligence service).
Mkuu wa Shin Bet Ronen Bar anatangaza kwamba atajiuzulu kutoka wadhifa wake mnamo Juni 15, akitaja jukumu la kibinafsi kwa shirika hilo kushindwa kuzuia shambulio la Oktoba 7 la Hamas.
Ikizungumza katika hafla ya ukumbusho wa wafanyikazi waliokufa wa Shin Bet, Bar inasema kwamba baada ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Katika Mabadiliko ya Ghafla, Netanyahu Afuta Uteuzi wa Mkuu wa Shin Bet Kufuatia Upinzani wa Washirika
Masaa 24 tu baada ya kutangaza uteuzi huo, Waziri Mkuu amebadili uamuzi wake na kusema atafanya mahojiano na wagombea wengine.
Kiongozi wa upinzani, Benny Gantz...
Wadau hamjamboni nyote?
Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Herzi Halevi akiambatana na Mkuu idara ya Usalama wa ndani Shin Bet jasusi mbobezi Ronen Bar watembelea leo hii kibabe kabisa kusini mwa Lebanon.
Wababe hao wameapa kuwa magaidi wa Hezbollah na wenzao wote hata wajifiche ardhini au angani...
Wadau hamjamboni nyote?
Ni suala la muda tu kabla ya watajwa hapo juu kutumbuliwa
Waziri wa ulinzi yeye anasubiriwa arejee kutokea ziarani Marekani nchini Marekani. Ilikuwa atumbuliwe mapema lakini cha Ismael haniyeh kilichelewesha tangazo hilo
Taarifa kamili hapo chini:
Mungu ibariki Israel...
Hiki kikundi kidogo kwenye picha kimejumuisha Waziri mkuu, waziri wa ulinzi, IDF, Mossad, Shin bet na IAF wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.