Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.
Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.