Nurdin Bilal Juma maarufu kama Shetta, Msanii wa muziki wa kizazi kipya na mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameibuka mshindi katika kura za maoni za chama hicho kwa nafasi ya udiwani Kata ya Mchikichini, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam.
Ushindi huo unamuweka Shetta katika nafasi...