Katika jamii yoyote inayojitambua, wakili ni zaidi ya mtaalamu wa sheria—ni mhimili wa maadili, sauti ya wanyonge, na mlinzi wa utu. Lakini leo, mbele yetu amesimama kiumbe mpya: wakili msomi, mfanyabiashara wa haki. Ni msomi aliyeapa kulitumikia taifa kwa uadilifu, lakini ameigeuza taaluma yake...