sherehe za xmas

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Askofu Paul Bendera: Anayeratibu vurugu Desemba 25 haiheshimu dini ya Kristo

    Askofu Paul Bendera amewataka watanzania kuungana na watu mbalimbali Duniani kusherehekea kwa amani, Siku ya Kuzaliwa kwa Yesu Kristo Disemba 25, na kuachana na mipango ya wasiolitakia mema taifa la Tanzania ambapo wamepanga kutumia siku hiyo kufanya matukio ya Uvunjifu wa amani, Askofu Bendera...
  2. Utapika chakula gani Xmas hii?

    Wazee wa madikodiko kwema? Xmas hiyo inakuja, umejipanga kutoka na sotojo gani? Kwa upande wangu najua pilau na juice moja matata havitakosa kwenye menu yangu, vingine hivyo vitakuwa vya ziada tu ula ubweche huu lazima ufinywagwe siku hiyo. Vipi kwa upande wako, umejipanga kupika nini Xmas...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…