shemeji yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake, kwanini huwa mnapambana kumtawala mwanaume kisha kumtenganisha na ndugu zake na rafiki zake?

    Nipo mkoa Fulani kanda ya ziwa kikazi nilihamishiwa huku kwa bahati nzuri huku nilimkuta ndugu yangu mmoja tunaelewana Sana maana tumekua wote enzi hizo. Sa kwa vile mi bado mgeni kidogo na ni wale introvert najikuta nipo bored Sana na huu mji mida ya jioni huwa napenda kumcheck ndugu yangu na...
  2. JamiiForums Tanzania Mume wangu, siwezi kushindana na mabinti wadogo wa mjini

    Alikuwa akisoma article fulani kwenye mtandao huku amekaa kwenye kiti kilichopo chumbani mwao.. "Darling...." Akamuita mumewe.. "Yes.." Mume akaitika... "Unanipenda?" Akamuuliza mumewe ambae alikua busy akifunga tai tayari kwa kuivaa shingoni. "Of course nakupenda my love. Nakupenda sana...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

    Nakumbuka mwaka Jana February niliwai leta kisa humu Cha kumchapa makofi mchepuko wangu. https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/38182399 Ebana eeh, Yule mchepuko mwezi machi katikati tulikuja rudiana bhana, Mazingira ya kurudiana ilkua baada ya mwezi hivi wa ukimya baina yetu Udhaifu wangu...
  4. JamiiForums Tanzania Leo imeniuma sana baada ya kujikuta usiku wa leo natembea na shemeji yangu

    Wakuu heri ya mwaka mpya, naamini mmeanza mwaka mpya kwa utulivu kabisa, maake najua stress za karo tushaachana nazo tangu 2021 Dec. Leo imeniuma sana baada ya kujikuta usiku wa leo natembea na shemeji yangu ( demu wa rafiki yangu) bila kudhamilia, ilikuwa hivi shemeji alinipigia simu jana kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

    Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu. Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje. Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha? Maana najisikia...
  6. JamiiForums Tanzania Mke arejesha heshima kwa Kasi ya 5G

    Ni kisa Cha ukweli kilicho mkuta jamaa yangu. Yalikua ni malalamiko tu kila siku akisema mkewe hana heshima yaani hamuheshimu kabisa. Pamoja na kuto kuwa na heshima alikua na kauli chafu Sana yule mwanamke kumuambia jamaa kuwa alimuonea huruma tu akamuoa ni neno la kawaida Sana na hili neno...
  7. JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu kufumania Shemeji yangu

    Kwanza kabisa nipende kuwapa pole wanajavi wote kwa changamoto ya corona na pole zaidi kwa waliopoteza ndugu zao. Tuzidi kumwomba mwenyezi MUNGU na kuchukua tahadhari Inshallah tutavuka salama. Leo napenda kuleta mrejesho wa thread yangu ya week kadhaa zilizopita niliyoiandika hapa hapa yenye...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

    Waziri wa Afya, Dkt Gwajima leo ameelezea suala askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima kupinga chanjo ya Covid-19 na kudai pamoja na ushemeji walionao haungani na itikadi zake. Pia ameshangaa wanaomuamini akitolea mfano wa Askofu kudai atamfufua Amina Chifupa kitu ambacho...
  9. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nimemfumania shemeji yangu

    Habari Wana jamvi, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nina rafiki yangu ambaye ni Kama ndugu yangu kwa jinsi tunavyoishi na kusaidiana once changamoto za kimaisha zinapo arise. Nimeishi vizuri Sana na huyu rafiki yangu tena kwa ukaribu Sana tukiwa mtaa mmoja. lakini kwa Sasa tupo mbali kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…