Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Dar es Salaam, Sheikh Mohamed Mawinda, amesea kauli yake kuhusu wanaovunja amai nchini aliyoitoa Julai 5, 2025 haikumaanisha kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu auawe.
Akizungumza katika uzinduzi wa kanisa la Arise and Shine uliofanyika Julai 5...
Kila siku nasema, Huwezi kua na Akili yaan Akili na mwenye Elimu ya kutosha isokua na Kona Kona alafu ukafurahia Matendo ya Jinai yaliyo kinyume na KATIBA Kwa KISINGIZO CHA KULINDA AMAN.
Ni Hivi anayetishia Amani, nyuma yake kuna sababu, hizo sababu zake ikiwa zimebeba Masilahi makubwa ya Taifa...
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Dar es Salaam, Sheikh Mohamed Mawinda, leo Julai 5, 2025 amehutubia mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa hema jipya la Askofu Mwamposa (Arise and Shine).
Katika hotuba yake, Mawinda amesisitiza kuwa Watanzania wanapaswa kulinda amani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.