Hivi ujenzi wa SGR MWANZA TO DODOMA uliishia wapi maana Kimya kimekuwa kingi hatusikii majigambo ya miradi yote inaendelea.
Pia soma ~ Serikali yaanza kulipa Tsh. 3.66 Bilioni kwa wananchi 2,471 wa mikoa ya Simiyu, Mwanza, Shinyanga na Tabora wanaopisha SGR