Hivi ni kweli Samia anaagiza kuku na mayai ya kula Marekani Tena na fly Emirates?
Hiki ni Nini wakuu ?? Yaani Tanzania hakuna kuku mayai mpaka yatoke Marekani?
Soma Pia: Heche: Serikali ya Samia Iliagiza Mayai, Nyama na Vipapatio vya Kuku kutoka Marekani kwa Dola Milioni 24.8
Ikulu njooni...