serikali na dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Samia na Rais Mwinyi wafuturu pamoja Ikulu Tunguu na Viongozi wa Siasa, Serikali na Dini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume kwenye Iftar aliyowaandalia Viongozi wa siasa, serikali, dini...
  2. J

    Je, ni sahihi wabunge kuapa wakiwa wameshika kitabu cha dini tofauti na dini ya Spika?

    Hili swali nalielekeza Duniani kote ambako Utaratibu wa kuapisha Wabunge kwa kutumia Vitabu Vitakatifu Vya Mitume wa Mungu wa Mbinguni unatumika. Kwa upande wa Rais haina shida kwa sababu wanakuwepo Jaji Mkuu na Mufti au Askofu. Niko pale nasubiri Elimu. Mungu wa Mbinguni awabariki.😀
Back
Top Bottom