SERIKALI KUJENGA BARABARA YA NJIA NNE MWANZA.
Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kikamilifu kuleta mapinduzi ya miundombinu katika Jiji la Mwanza kupitia ujenzi wa barabara ya njia nne kuanzia Mwanza Mjini hadi Usagara pamoja na njia ya mabasi ya mwendokasi, hatua...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali iko mbioni kujenga shule maalumu ya wavulana kwa ajili ya Kanda ya Ziwa, ambapo ujenzi huo utafanyika mkoani Simiyu.
Samia ametoa kauli hiyo leo, Jumatatu Juni 16, 2025, wakati akizungumza na wananchi wa mkoa huo mara baada ya kuzindua rasmi shule ya...