serikali kujenga barabara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali Kujenga Barabara ya Njia Nne Mwanza

    SERIKALI KUJENGA BARABARA YA NJIA NNE MWANZA. Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kikamilifu kuleta mapinduzi ya miundombinu katika Jiji la Mwanza kupitia ujenzi wa barabara ya njia nne kuanzia Mwanza Mjini hadi Usagara pamoja na njia ya mabasi ya mwendokasi, hatua...
  2. M

    KERO Mwezi ujao mwaka unakamilika toka ahadi ya serikali kujenga barabara ya kibada Mwasonga kwa lami

    Nakumbuka ni 29/04/2024 Siku ambayo wana Kigamboni tulikaa barabarani kumsikiliza Waziri wa ujenzi kwa wakati huo Innocent Bashungwa akitueleza namna serikali imeridhia kuwekwa rami kwa barabara hii ya kibada Mwasonga. Tunasikitika kuwa sasa tunakaribia mwaka toka ahadi hiyo hakuna jipya zaidi...
  3. Serikali haitakiwi kujinadi Kwa kujenga Barabara

    Hi Kuna vitu ambavyo vipo na vilnaganyika lakini pia vilikuwepo na vikafanyika isipokuwa kwasasa ni kuboresha Maana yangu ni hii kuwa serikali inatakiwa kufumbua miradi mipya ambayo haipo na inatija Kwa taifa na wananchi. Leo serikali inapokuja au mwanasiasa anapokuja kusema kuwa nimejenga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…