senegal apokwa ubingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    CAS: Tutatoa uamuzi wa rufaa ya Senegal "haraka iwezekanavyo"

    Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imetangaza kuwa itatoa uamuzi wa rufaa ya Senegal "haraka iwezekanavyo" kufuatia hatua ya nchi hiyo kupinga kuvuliwa taji la Mataifa ya Afrika (AFCON). Kiini cha Mzozo Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF) liliamua kuwanyang’anya Senegal...
  2. Waufukweni

    Senegal wapokwa ubingwa wa AFCON 2025 na CAF, apewa Morocco

    Morocco imetawazwa kuwa mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika la 2025 baada ya uamuzi mzito siku ya Jumanne kueleza kuwa ushindi wa bao 1-0 wa Senegal kwenye fainali umebatilishwa. Senegal ilikuwa imeshinda mechi hiyo huku Pape Gueye akifunga bao la ushindi katika muda wa nyongeza, lakini...
Back
Top Bottom