Ikiwa Maseneta wa Marekani watakaowahoji ujumbe wa Tanzania wataamua mahojiano hayo yawe mubashara kupitia CNN kuhusu Tanzania, kwa lugha pendwa ya Kiingereza, Wakielekeza hoja zao katika maeneo ya Hali ya demokrasia na uchaguzi wa Tanzania na Tuhuma za ukiukwaji wa haki za binadamu baada ya...