Main page: Euroleague 2009–10
The Qualifying round phase of the 2009–10 Euroleague basketball tournament is preceding the regular season. 8 teams will compete in two preliminary rounds, of which 2 teams will advance to the regular season stage.
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Yanga SC jioni ya leo wataingia uwanjani kurudiana na timu ya Silver Strikers kutoka Malawi
Katika mechi ya kwanza iliyofanyika jijini Lilongwe nchini Malawi, Silver Strikers waliibuka na ushindi wa goli moja kwa bila
Je Yanga leo watapindua...
Klabu ya Simba SC itashuka dimbani leo kuvaana na Nsingizini Hotspurs ya Eswatini katika mchezo wa Raundi ya Pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League Second preliminary round Leg 1 of 2) utakaopigwa kwenye Uwanja wa Somhlolo nchini Eswatin. Mshindi wa jumla katika michezo hii miwili...
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Young Africans (Yanga) jioni ya leo wanaingia uwanjani kukipiga na Timu ya Wiliete kutoka Angola katika mechi ya marudiano.
Katika mechi ya kwanza iliyofanyika Angola, Yanga walitoka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya wawakilishi hao wa Angola
Je...
Wiliete SC vs Yanga SC
Kikosi kinachoanza dhidi ya Wiliete SC
Mpira umeanza
Dakika ya 3 Yanga SC wanapata free kick
Dakika ya 33
Andabwileeeeeeeeeeee
Shuti kali kutoka kwa Aziz linatupa bao la uongozi.
Dakika ya 43
Wiliete 0-1 Yanga SC
Dakika ya 45+1
𝐇𝐀𝐋𝐅 𝐓𝐈𝐌𝐄| Wiliete SC 0🆚1 Young...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.