sebastian kapufi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Sebastian Kapufi: Asilimia kubwa ya Vijana nchini ni Tegemezi, Serikali iliangalie hili

    Akichangia Bungeni Jijini Dodoma Hotuba ya Bajeti Kuu la Serikali ya Ofisi ya Waziri Mkuu Tanzania, Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini, Mhe. Sebastian Simon Kapufi ametoa wito kwa Serikali kuwaangalia vijana ili wasiwe tegemezi badala yake wawe nguvu kazi ya Taifa. "Idadi ya Watanzania ni...
  2. Waufukweni

    LGE2024 Katavi: Mbunge wa Mpanda Mjini, Sebastian Kapufi, apiga Kura Kata ya Nsemulwa, apongeza mwitikio wa Wananchi

    Mbunge wa jimbo la Mpanda mjini mkoani Katavi Sebastian Kapufi amepiga kua katika kata Ya Nsemulwa kuchagua mwenyekiti wa mtaa na wajumbe wa serikali za mitaa. Akiwa hapo Kafupi amesema kuwa hali ya watu kujitokeza ni nzuri huku akisisitiza watu kujitokeza mapema kwakuwa utaratibu unaotumika ni...
Back
Top Bottom