sda

The Beauty of Labour (Schönheit der Arbeit) was a propaganda organization of the Nazi government from the period 1934 to its eventual disbandment in 1945. One of its principal functions was workplace design and the beautification of the German work environment. Initially a propaganda machine, the SdA worked bilaterally with its counterpart organisation Strength Through Joy (KdF) to achieve overall appeasement of the general population. The organization campaigned for improved cleanliness, better hygiene, proper work attire, changing rooms, lockers, better air, and less noise in factories and other places of employment. Beauty of Labour was one of the many areas that made up the Nazi labour union, the Deutsche Arbeitsfront (DAF or "German Labour Front") and was directed by Albert Speer.
Campaigns such as the Fight against Noise and Good ventilation in the workplace gave the Hitler-led government the ability to stimulate productivity within the workplace while simultaneously installing a sense of community and greater cordiality between the government and the German population.

View More On Wikipedia.org
  1. Nimeamua Kuachana na USABATO Nikiwa na akili timamu , Biblia inaonyesha Manabii walionya Wafalme WAOVU, Vijana wanauliwa, Viongozi SDA wako Kimya

    Mungu wangu Nitamsoma kwenye Biblia tu ,nitasaidia Masikini, nitatoa sadaka zangu huko . Kupelekwa Sadaka na Dhaka Kanisan ziliwe na Viongozi wa Dini ambao Taifa linapitia maumivu, Mauaji ,ukosefu wa Haki ,wao wako Kimya, Nilkujikosea mwenyewe. MUSA aliua Mmisiri ili aokoe Wana Israel. Joshua...
  2. U

    Mwalimu Jeff Massawe adai waumini wa Kisabato wanalazimishwa na Kanisa kuamini fundisho la Utatu na kuwa Kanisa hilo sasa ni tawi la Katoliki

    Ni Kwa mujibu wa Mwalimu Jeff Massawe muinjilisti wa Kisabato ambaye ameasi na kufutwa ushirika na sasa ameanzisha huduma yake maeneo ya Dawasco Bunju. Anadai asili ya fundisho husika ni Kanisa Katoliki hivyo SDA sasa ni sehemu ya Kanisa la RC
  3. Mchungaji SDA: Kiongozi anayesikia anasifiwa Mungu akatae anatafutiwa laana, akoleza moto asema anayeua na kubambikiza kesi ni sinagogi la Shetani

    "Mtu mmoja akasema kiongozi fulani ni Mungu, nikashika mkono Tanzania hapa? Kiongozi anayesikia anasifiwa Mungu akatae anatafutiwa laana" "Yoyote anayejua kwamba kuua ni dhambi na akaaua akachukua roho ya mtu, amegeuka kuwa sinagogi la shetani, yeyote anayedhani kufunga mtu bila kosa ni dhambi...
  4. Mchungaji SDA akemea vikali wanaoteka na kuua watu asisitiza damu za waliouliwa zitawalilia wauaji Milele, asema kiongozi lazima akosolewe

    Huu Sasa ndio Utume na Injili!! Mchungaji wa Kanisa la waadventista wa Sabato Kinyerezi Maotola John Lumbe amesema wanaothubutu kukatiza uhai wa watu damu zao zitawalilia akisema 'inakuweje wewe unaenda kumuondoa mtu uhai wake, unampoteza mtu watoto wake wanalia mke wake analia mama yake anali...
  5. Sabato njema wapendwa| sda songs thread

    Napenda kuwatakia maandalizi mema ya Sabato. Sabato ikawe njema kwenu nyote. Sabato yako ikawe njema kupitia uinjilishaji huu kupitia nyimbo Uzi huu utahusisha nyimbo za SDA pekee, karibuni wapendwa.
  6. Wa Protestant wa kweli ni SDA church na Mashahidi wa Jehova, hawa hawaku copy chochote kutoka RC.Chrstimass ni kwa ajili ya Catholic

    Uprotestant uliasisiwa na Martini Luther Karine ya 16 huko na ni baada ya kuto kubaliana na mambo mengi ndani ya Catholic church. Ila Martini Luther alicopy vitu vingi mno kutoka kanisa la Roman, hii ikawa sasa haina maana hasa kwenye yale mageuzi yake. King Henrry nae wakati anaasisi...
  7. Mhasibu, Afisa TEHAMA wa Kanisa la SDA wapandishwa kizimbani kwa Wizi wa Tsh. Milioni 717

    Watu watatu wakiwemo Mhasibu na Ofisa Tehama wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania (SDA), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka manane, likiwamo la kutakatisha fedha na wizi wa Sh717 milioni mali ya kanisa hilo. Washitakiwa hao ni ofisa Tehema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…