sauti ya watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Sauti ya watu by Nay wa mitego; ilitoka; November 2, 2022

    Sauti Ya Watu – Nay Wa Mitego UTANGULIZI: Hii sio sauti ya kiharakati wala Ukombozi wa musa na fimbo yake Bali haya ni maumivu ya mnyonge Anaye wakilisha walala hoi wenzake Kwenye kinywa kilichokosa Pa kusemea hisia zake UJUMBE: • Natanguliza samahani kwa wale nitakao wakwaza Yamenifika hapa...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Tafadhali Sikiliza Sauti ya Watu wa Mungu

    1. Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, tunakutambua kama kiongozi wa nchi yetu, mama wa taifa, na muendelezaji wa juhudi za maendeleo. Tunakupa heshima yako kama mkuu wa nchi. 🇹🇿 2. Lakini tunakuomba kwa unyenyekevu, usikilize kilio cha viongozi wa dini ambao kwa nyakati mbalimbali wamekuwa...
  3. JamiiForums Tanzania "Vox populi, vox Dei (Sauti ya watu ni sauti ya Mungu)

    👉🏾Katika nadharia isiyoelezeka kisayansi napendelea kusema mapenzi au maoni ya watu wengi yana uzito mkubwa, na yanaweza kuonekana kama ishara ya mapenzi ya Mungu. Katika mitazamo ya kidini,ikiwemo Ukristo na Uislamu, kuna mafundisho yanayosema kwamba Mungu ndiye chanzo cha mamlaka yote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…