sanaa tanzania

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA; Swahili for National Arts Council) is the national council founded in 1984 by government legislation to serve as a facilitator and promoter of Tanzanian arts, music and theatre arts. BASATA is an official parastatal organization established under the National Arts Council Act No. 23 of 1984. It is a government agency for the revival, promotion and development of the arts in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: COSOTA na Baraza la Sanaa Tanzania, Wajibu wao kwa Wasanii na Kinga yao kwa Wasanii.

    Wajibu mkuu wa Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) kwa wasanii ni kusimamia, kulinda, na kutetea haki miliki zao za kazi za ubunifu. Majukumu haya yanajumuisha ukusanyaji na ugawaji wa mirabaha, utoaji wa elimu ya hakimiliki, na kupambana na uharamia au kwa ufafanuzi zaidi niseme: Wajibu...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Sirikali Chumbani Mwangu

    Siri Kali Chumbani Mwangu Serikali iko ndani mwangu, Inapanga jinsi ya kulea wana wangu, Vijiko vya sukari jikoni kwangu, Hata aina ya fikra za mke wangu. Sera kali zote dhidi yangu, Hakuna tena faragha ya kuwa mtu wangu. Uhuru sasa si wangu, Bali kauli mbiu moja, Hakuna kosa dhidi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi

    Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi 143 ya utamaduni na sanaa.
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Fid Q: Rais samia ametoa Trilioni 13 kwa maendeleo ya muziki na sanaa Tanzania

    Katibu mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania bwana Farid Kubanda maarufu kama Fid Q amesema ndani ya kipindi cha miaka 4, Rais samia ametoa Trilioni 13 kwa ajili ya maendeleo ya muziki na sanaa Tanzania. Unaweza kuendelea kumsikiliza hapa. Pia kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…