samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 WanaCCM mnabeep? Kama uchaguzi ukiwa huru na wazi Rais Samia hawezi kumshinda Lissu

    Hivi mmetumwa kujaribu upepo wa kisiasa? CCM imechafuka kwa kila uchafu, utekaji , kurithishana madaraka, wizi, sakata la bandari, kubambikia watu kesi (Rejea kesi ya Lissu mpaka shahidi hajui kielelezo kilipo. Leo hii hii uchguzi uwe huru na wa haki Rais Samia hawezi kumshinda Lissu. Ole...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wamshukuru Rais Samia Kwa kupewa Baiskeli

    Wananchi wa kata ya Mwanase mkoa wa Shinyanga wamemshukuru Mh Rais Samia kwa kuwapatia Baisketi katika kata hiyo kwa ngazi ya mabalozi huku wakimwahidi kura za kutosha kuelekea uchaguzi mkuu pia wamemwomba Mh Rais, Awaongezee baiskeli hizo, kwa viongozi wa chama kwa ngazi ya wenyeviti na...
  3. JamiiForums Tanzania Call to Action: An Open Letter to President Samia on the Need for the Government to Respect the Non-derogable Right to Religious Freedom in Tanzania

    INTRODUCTION Dear President Samia, the saying that "actions speak louder than words" means that a person's behavior and actions are a more reliable indicator of their true intentions and feelings than what they say. The wisdom of this saying fully applies to your government's actions between...
  4. JamiiForums Tanzania Kulikoni mbona Samia anasisitiza sana watu kulipa Kodi siku hizi?

    Raisi Magufuli soon alipoingia madarakani alisisitiza kulipa Kodi, alisisitiza wafanyabihashara kutoa risiti za ki electronic. Na makusanyo yaliongezeka sana. Samia alipoingia madarakani hakuweka msisitizo kwa watu kulipa Kodi,alijigamba kuwa ataendelea kukopa tena sana tu. Matokeo yake...
  5. JamiiForums Tanzania Raisi Samia Aingia Katika Macho ya Bloomberg

    Baada ya gazeti maarufu la Marekani, The Wall Street Journal (WSJ), kuchapisha makala inayomkosoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya shirika jingine mashuhuri la habari nchini Marekani la Bloomberg kuripoti tukio jingine lenye utata. Kwenye taarifa yao...
  6. JamiiForums Tanzania Ikulu Wiki Hii:Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia katika wiki

    #IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii 📆 16 - 22 Juni, 2025.
  7. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar es salaam

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ameongoza Kikao kizito...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi imeshagawanyika hii watu wanataka reforms za kiuchaguzi ila mamlaka inajizima data

    Nchi imeshagawanyika hii watu wanataka reforms za kiuchaguzi ila mamlaka inajizima data. Sipati picha tunakoelekea kama kuna watu wachache watataka kupelekesha uchaguzi vile wanavyotaka wao ufanyike kisha wajitangaze ni viongozi wa nchi sijui itakuwaje. Kama watategemea jeshi na dola kuwalinda...
  9. JamiiForums Tanzania Ndani ya miaka 4 ya Rais Samia nimepanda cheo mara 2. Watumishi wa umma umetutendea haki

    Nisipomshukuru Rais Samia kwa jambo hili nitakuwa Nina pepo wachafu. Mungu akulinde. October ushinde tena. Wapinzani tutachukua nchi 2030 baada ya kuondoka wewe. Ndani ya miaka 7 ya utawala wa Magufuli tuliona unyama dhidi ya wananchi zaidi ya kipindi cha uongozi wa Marais wote lakini...
  10. JamiiForums Tanzania Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia aalikwa kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika Julai 14 – 17, 2025

    Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 14 hadi 17 Julai 2025. Mkutano huo utafanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Mgeni Rasmi aliyealikwa kufungua mkutano huo wa kimataifa ni Rais wa Jamhuri ya...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia hivi unajua uchumi wa la jimbo la South Carolina ni mara tatu ya uchumi wa nchi yako?

    Nilicheka sana, Samia mbele ya public alisema uchumi wa Tanzania unafanya vizuri kuliko uchumi wa Ulaya na Marekani, what a shame. Samia unaijua Marekani? Ngoja nikupe elimu ndogo, hivi unajua Jimbo la South Carolina Lina uchumi mkubwa mala tatu ya Tanzania? South Carolina ni jimbo dogo sana...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiye nayecheza ngoma isiyokuwa yake

    RAIS SAMIA ANACHEZA NGOMA ISIYOKUWA YAKE Katika historia ya Tanzania, mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa kipekee aliyeingia madarakani si kwa matakwa yake binafsi, bali kwa matokeo ya kikatiba kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Dkt. John Pombe Magufuli. Kwa kinywa chake mwenyewe, Samia aliwahi...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia: "Tusilazimishe Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama Kufanya Mengine"

    Mengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Rais Samia hadaiwi na watanzania anataka kurudi tena kwenye kiti Kufanya nini?.

    GT Mimi kama mwanajimbo la kisesa nikiongozwa na Mpina nakubali kwamba Samia tunamdai ana mambo mengi sana hajakamillisha na tuna wasiwasi na uwezo wake kama atayatimiza. Hawa wanaosema.hawamdai halafu October arudi tena. Nawaona kama wana mtindio wa ubongo kabisa. Mtu aliyemliza yote arudi...
  16. JamiiForums Tanzania Ni Historia Rais Samia Afungua Rasmi Daraja la J.P. Magufuli Kigongo-Busisi, Mwanza

    NI HISTORIA RAIS SAMIA AFUNGUA RASMI DARAJA LA J.P. MAGUFULI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelifungua rasmi Daraja la J.P. Magufuli lenye urefu wa kilomita 3 na barabara unganishi zenye urefu wa kilomita 1.66 linalounganisha Wilaya za Misungwi na Sengerema...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia akiwahutubia Wananchi wa Busega, Juni 19, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Wilaya ya Busega Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 19 Juni, 2015 https://www.youtube.com/watch?v=j2aFvrKFZxM Rais Samia Suluhu Hassan akifungua mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka kusoma mahali siku Rais Magufuli anakufa, Samia alikuwa Kenya; najiuliza hadi leo kwanini aliondoka nchini akijua Rais ana hali mbaya?

    Wana JF, siku zote nina akili ya udadisi sana. Hili swali nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sana. Kwamba zile siku Raisi Magufuli anaonekana ni wazi atakufa na hata akiwaita Mkuu wa Majeshi na viongozi wa dini, Samia aliondoka nchini akawa pale Kenya, na hiyo haikuwa ziara rasmi ya kiserikali...
  19. JamiiForums Tanzania Mods Tuanaomba habari zote za , "Wanao mdai Mama Samia "ziwekwe kwenye uzi Mmoja hapa Jf.

    Mods Tuanaomba habari zote za , "Wanao mdai Mama Samia "ziwekwe kwenye uzi Mmoja hapa Jf.
  20. JamiiForums Tanzania Mbona ni kama Rais Samia kaanza kampeni tayari?kwa nini hachukuliwi hatua na mamlaka?

    Huyu mtu anayoyaongea kwenye mikutano yake ni kama vile tayari kaanza kampeni. Naomba achukuliwe hatua tafadhali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…