samia urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    CCM yapendekeza Samia urais hadi 2035

  2. Agent-47

    PostGE2025 Kuhusu ahadi alizotoa Samia ndani ya siku 100 za kuwa Rais. Zipi kati ya hizi ametekeleza?

    Samia alitoa ahadi kedekede za kutekelez ndani ya siku 100. Mpaka leo zimeyoyoma karibia siku 50, yaani %50 ya siku 100 kutekeleza aliyoyahaidi majukwaani. Je, ametimiza yapi kati ya haya machache aliyojigamba kuyafanya? 😆😆 Mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio kugharimia...
  3. Common Folk

    GE2025 Mama Samia jiamini, usikubali kufanyiwa maamuzi na mtu mwingine. Usikubali kuwa "A Madowman who set peaceful country ablaze"

    Na njia pekee ni kukubali tu kuachia kiti na kuacha taratibu zingine ziendelee. Fanya maamuzi yako mwenyewe ya bila kuingiliwa na mtu yeyote, kumbuka maamuzi sahihi yataifanya kesho yako iendelee kuwa njema. Ukikubali wakakufosi kuendelea, na mkafosi kutangaza umeshinda na uendelee kuwa Rais...
Back
Top Bottom