MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CUF) Samandito Gombo amesema siku 100 baada ya kuchaguliwa kuwa Rais atahakikisha anaanzisha mchakato wa katiba mpya na itakuwa ni siku ya kwanza baada ya kuapishwa.
Gombo aliyasema hayo leo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari...
Msafara Wa Mgombea Urais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Kupitia Chama Cha Wananchi CUF Gombo Samandito Gombo Ulivyosimamishwa Na Mamia Ya Wananchi Wa Kijiji Cha Kasota, Kata Ya Bugurura, Wilaya Ya Geita Vijijini, Mkoani Geita.
Soma pia: Mgombea Urais Samandito Gombo (CUF): Tutahakikisha...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Samandito Gombo, akiambatana na Mgombea wake mwenza Husna Abdallah, leo Agosti 13, 2025, amechukua fomu ya kuteuliwa kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Akizungumza na wanahabari mara baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.