salender

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwili wa mtu aliyekufa umekutwa kwenye Daraja la Salender ukiwa unaelea

    Mwili wa mtu mmoja aliyekufa umekutwa kwenye daraja salender mchana huu. Tayari Kikosi cha Jeshi la Uokoaji Zimamota limeshafika eneo la tukio.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Posta - Salender (1.8km) ila unakaa masaa 2 kwenye foleni

    2026 miaka karibu 70 ya uhuru. Je wakoloni wangekuwapo mpaka leo ingekuwa hivi?
  3. JamiiForums Tanzania Kuondolewa Mwenge na kuwekwa Tanzanite daraja la Salender (Tanzanite Bridge) ni ishara ya mwisho wa laana kwa Taifa letu

    MAJIRA YA LAANA YAMEKOMA, SASA NI MWANZO WA MAJIRA MAPYA YA BARAKA TELE KWA TAIFA LETU. Leo nachukua fursa hii kumpongeza mama kwa kuupiga mwingi. Rais wetu Samia Suluhu Hassan baada ya kusoma kuhusu laana zinazotumaliza kutokana na kukimbiza mwenge, akaamua auondoe na kuweka Tanzanite madini...
  4. JamiiForums Tanzania Daraja la Tanzanite kuzinduliwa hivi karibuni

    Nasikia kwa sasa zinafanyika taratibu za kujenga mnara wa uzinduzi. Picha ni kama zinavyojieleza. ================================== 17/11/2021
  5. JamiiForums Tanzania Kuanza kuhusisha siasa kumtengenezea Muuaji kadi ya Chadema ama kuonyesha UCCM wake ni ushamba

    BINAMU HIMSELF: TUKIO LA MAUAJI SALENDER BRIDGE JANA Tukio la mauaji Salender Bridge jana Kumekuwa na hisia na hukumu nyingi kuhusiana na tukio la jana lililopoteza maisha ya watu watano. Ugaidi, kisasi, chuki vimetajwa kama sababu na baadhi ya wengi, Ilimradi kila mmoja amesema anavyodhani ni...
  6. JamiiForums Tanzania Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Guys I am informed there’s a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news? Inadaiwa kuna watu wameuawa. Ni Karibu na Makao Makuu ya Stanbic. ======== Mtu mmoja ambaye alionekana kufyatua risasi karibu na Ubalozi wa Ufaransa Jijini Dar es Salaam amedhibitiwa na Vyombo vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…