Heri ya pasaka kutoka kwenye ibada ya mkesha hapa St. Joseph. Wale watenda dhambi zote ikiwemo uzinzi, nendeni mkatubu mpate mwanzo mpya na Yesu afufuke mioyoni mwenu.
Nimewamiss wote, natuma salamu za pasaka kwa mpwa wangu kipenzi Nomadix , wadogo zangu makutupora , Mallerina , realMamy , na...