Wakuu,
Wacha waendelee kutubaragaza mpaka tutoe mlio!
=====
Serikali iko mbioni kulipa mabilioni ya shilingi ya walipa kodi, kwa Harbinder Singh Sethi, anayejiita mmiliki wa kampuni ya kufua umeme wa dharura ya Independent Power Tanzania (IPTL).
Mabilioni hayo ya shilingi yatalipwa kwa...
Jana Mjadala wa suala la IPTL kupitia Jamii Media JamiiForums
umezuiwa kwa hoja kwamba jambo lipo mahakamani. Sikubaliani na tafsiri hiyo ya jambo kuwa mahakamani kwamba lisijadiliwe. Jambo hili ni la Umma, limeibuliwa na CAG, lazima lijadiliwe.
KWANZA naunga mkono msimamo wa uongozi wa...
Baada ya miaka 11 ya kuibuka kwa kashfa ya Tegeta Escrow mwaka 2014 iliyoihusisha Shirika la Umeme (Tanesco) na Independent Power Ltd (IPTL), sakata hilo limeendelea kuibuka kila mara likija na madai kwa Serikali.
Jana Machi 27, wakati Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles...
My take
Kama kuna jambo mwenda zake aliinusuru nchi hii ni kuitoa kwenye makucha ya mataperi wa nishati, tulikuwa tumetizamishwa kibra na wala hatukuwa na nguvu za kujinasua kupitia mahakama za kimataifa, maana tayari tulikuwa tumejinyonga kwa kamba yetu wenyewe kupitia mikataba ya kimangungo...
Dodoma. Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila jana aliibua tuhuma nzito bungeni akiwahusisha mawaziri wawili na Sh200 bilioni zilichotwa katika Akaunti ya Escrow, iliyokuwa inamilikiwa kwa pamoja kati ya Tanesco na Kampuni ya kufua umeme ya IPTL.
Katika tuhuma hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.