saida karoli

Saida Karoli (born April 4, 1976) is a traditionalist Tanzanian singer and performer who has staged live shows in Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi and DRC.
Karoli was born in 1976 in Rwongwe, a small village in the Bukoba Rural district in the northern Tanzanian Kagera Region on the western side of Lake Victoria. "Maria Salome", a song from her first album Chambua kama Karanga reached number three in airplay on Tanzanian radio. After the song's success in Uganda, she became popularly known there as Wanchekecha, a nickname derived from the lyrics of the song. She has entertained the Kabaka of Buganda and is an act at Zanzibar's Sauti Za Busara Festival. Most recently she was nominated for several honors at the Kora All-African Music Awards.
In style, Karoli's music is described as natural with mellow vocals and hypnotically rhythmicism. Though she sings primarily in her native tongue Haya, her lyrics also incorporate extensive Swahili (the common East African Language) and the occasional phrase in English. She is managed by Felician Mutta, the CEO of FM Productions LTO.
At the 2005 Tanzania Music Awards her album Harusi was nominated in the Best Folk Album category and at the 2006 Tanzania Music Awards, she was nominated for the Best Female Vocalist category.
In 2013, her song 'Maria Salome' was featured in the Tyler Perry-produced movie PeeplesIn 2016 she was paid royalties by Diamond Platnumz for redoing her song Salome.

View More On Wikipedia.org
  1. Mfahamu Saida Karoli, Mwanamuziki mkongwe wa nyimbo za asili

    Saida Karoli Amezaliwa mkoani Kagera tarehe 4 Aprili 1976 ni mwanamuziki wa nyimbo za asili ya Kihaya Saida alipata elimu ya msingi mwisho darasa la tano tu, ambapo ilibidi aache shule kutokana na kukosa msaada kutoka kwa baba yake ambaye hakuwa anaitazama sana elimu ya mtoto wake, hivyo...
  2. Saida Karoli na Rose Muhando hawa ndo wasanii bora wa muda wote Tanzania

    Hapa Tanzania itatuchukua miaka mingi kupata vipaji kama Saida Karoli na Rose Muhando. Hawa ndo wasanii bora wa muda wote hapa Tanzania.
  3. K

    Maisha ya sasa ya msanii Saida Karoli

    Nimerejea Bukoba kwa likizo baada ya miaka kadhaa, na kwa masikitiko makubwa nilikumbana na hali iliyonishtua sana. Nilimkuta msanii nguli wa muziki wa asili, Saida Karoli aliyewahi kutoa nyimbo zilizopata umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi, hadi kuvuka mipaka ya Tanzania akiishi maisha ya...
  4. D

    Kama ingekuwa ni embe; basi Tongolanga na Saida Karoli ni embe za mdondo linapokuja suala la kipaji Cha muziki

    Yaani ukimsikiliza Tongolanga, unajua kabisa hapa kulikuwa na mtu haswaa aliyezaliwa kwa ajili ya kuimba. Kila munu ave na kwao i-4, sanura, baba na mama, mpenzi Nuru, chilambo Cha vene.......dah, acha kabisa! R.I. P Field Marshal Haya, ukija kwa dada yangu Saida Karoli; yaani halazimishi...
  5. PreGE2025 Rais Samia agawa Bahasha za Maokoto kwa wasanii Rayvanny, Saida Karoli, Harmonize uzinduzi wa daraja la Magufuli jijini Mwanza

    Rais Samia amegawa bahasa za fedha kwa wasanii mbalimbali wa muziki nchini, akiwemo Rayvanny, Harmonize na Saida Karoli, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo–Busisi) lililofanyika leo Juni 19, 2025 mkoani Mwanza. Wasanii hao walipewa bahasha za fedha baada ya kumaliza...
  6. Historia ya Saida Karoli

    WASIFU WA SAIDA KAROLI Jina Kamili: Saida Karoli Tarehe ya Kuzaliwa: 4 Aprili 1976 Mahali alikozaliwa: Kijiji cha Rwongwe, Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mkoa wa Kagera, Tanzania Lugha: Kihaya, Kiswahili, Kiingereza (kidogo) --- MAISHI YA AWALI NA ASILI YA KIPAJI Saida Karoli alizaliwa na...
  7. Ndg zangu wahaya hii nyimbo "Bakunyimenyeite(Tetemesha)" ya mwanadada Saida karoli Huwa inamaana Gani ?

    Mficha uchi hazai/mificha maradhi kifo kitamuumbua na kuuliza siku zote sio ujinga. Hii nyimbo Ina miaka kadhaa Sasa lakini Kila ninapo zungukia kwenye sherehe hasa kijijini haijarishi iwe Kwa wasukuma ama makabila mengine huku Kanda ya Ziwa nyimbo hii Bado Iko kwenye chati. Nyimbo hii Ina...
  8. Wimbo wa Wiki: Saida Karoli ft Banana Zorro - Mpenzi Nakupenda

    Kiitikio(pamoja) Mpenzi nakupendaa, namii nakupenda, ujue nakupenda nimekukubali… Mpenzi nakupenda, namii nakupenda, ujue nakupenda na mimi nakubalii Saida Mpenzi nakupenda, penzi sio kila mtu, mpenzi nakupenda penzi ndio uamuzi wa mtu. Banana Na mimi nashukuru mama, unajua hilo Saida...
  9. 'Khalid na Philemon walipendana' - Saida Karoli alimaanisha nini hapa?

    Wakuu habari zenu, Katika wimbo wa Saida Karoli unaoitwa Maria Salome' kuna mashairi yanasema 'Khalidi na Filimoni walipendana, mapenzi yao yakadumu, Wenye wivu wajinyonge sana, wenye wivu wajinyonge' Sasa Khalidi na Filimoni walipendana mapenzi ya namna gani hayo yakadumu? Hao wote si ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…