sacp simon maigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    Nampongeza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa na jeshi zima la mkoa huo kutokuwa na mauaji ya raia kwenye maandamano

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa ameeleza kuwa hakuna mwananchi au askari Polisi wa Jeshi hilo Mkoani humo aliyejeruhiwa au kupoteza maisha kutokana na Vurugu zilizotokea siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025. Hata hivyo nawapongeza kwa kuwaachia huru vijana mia 300...
  2. DuaZaMama

    GE2025 RPC Kilimanjaro awasihi wananchi kutunza amani kwa maslahi ya nchi

    Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa amewasihi Wananchi kutunza amani kwa maslahi ya nchi na vizazi vijavyo ili kuleta maendeleo katika Taifa. Kamanda Maigwa ameyasema hayo alipokuwa akitoa elimu ya umuhimu wa amani kwa Watumishi wa Serikali na Wananchi katika ukumbi wa...
Back
Top Bottom