rushwa uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    GE2025 Media kupiga kelele raia kugomea maandamano, Serikali na CCM wamepaniki kuwa safari hii Watanzania wapo serious?

    Wakuu salam, Vuguvugu la maandamano lilianza miezi michache iliyopita baada ya CHADEMA kuja na kampeni ya "No Reforms, No Reforms" huku Lissu akisema watawashawishi watanzania waingie barabarani siku ya uchaguzi na kupinga uchaguzi huo kufanyika mpaka pale mabadiliko ya sheria na katiba...
  2. Waufukweni

    GE2025 Dkt. Angelina Mabula: Mimi sitoi Fedha za Rushwa, Pesa yangu ikitoka inaenda kwa Jamii siyo kwa ajili ya Kura

    Mbunge wa Ilemela, Mwanza anayemaliza muda wake Dkt. Angelina Mabula amesema hajawahi kuingia kwenye mashindano ya fedha na mimi zaidi nafanya kazi za Jamii hakuna mahali ambapo nimeweka fedha kwamba nimetoa hii kwasababu yeye katoa hiki.
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Simbachawene: Serikali kudhibiti Rushwa Uchaguzi 2025. Wagombea, Vyama na Wapambe kuchunguzwa vyanzo vya mapato yao

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema Serikali imejipanga kikamilifu kupambana na kudhibiti rushwa katika kipindi hiki cha Uchaguzi ikiwa ni pamoja na kufanya uchunguzi kuhusu vyanzo vya Mapato ya Wagombea, Wapambe wao na Vyama...
  4. Mindyou

    PreGE2025 Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga: Wanasiasa msiandae futari zenye asili ya rushwa kwa ajili ya Uchaguzi

    Wakuu, Wakati taifa linaeleka kenye Uchaguzi, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha amewaomba wanasiasa wasitumie fursa ya kuwafuturisha wananchi kama rushwa ya kwenye uchaguzi Soma pia: Rais Samia awafuturisha watoto yatima, wenye mahitaji maalumu Ikulu "Niwaombe sana viongozi wa kisiasa...
  5. issac77

    DOKEZO PreGE2025 Nzega, Tabora: Mtaani kwetu kuna watu wanapita Kila kaya wanagawa mitungi ya gesi, Sharti lao uwape namba yako ya NIDA

    Wife juzi kanipigia simu kuniambia kuna watu wamekuja home hapa Nzega mjini, kata ya Nzega Mashariki, wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua. Sasa leo ikabidi nimdodose yaani ni kina nani mpaka wagawe gas bure, akasema wao wakishakupa gas yao wewe unawapa namba yako ya NIDA hapo...
Back
Top Bottom