Kama kweli Rais ana dhamira ya kuondoa Rushwa, uonevu, na aibu za kila aina katika ofisi za umma basi atoe ruhusa maeneo hayo watu kupiga picha na kurekodi sauti na matukio
kama tunavyoonaga watu wakirekodi kwa kificho na inakuwa inaisaidia serikali kuwapata wanaofanya hayo matukio.mabaya basi...