Wewe jamaa kuhusishwa kwako na magenge ya waporaji raslimali hayajaanza leo wala jana,sio mr.slow slow tu ndo kayaibua hapana tangu ukiwa mjengoni Taifa linakuimba wewe tu.Nchi hii inamatajiri wengi mbona wao hawasemwi???au wewe hela zako ziko tofauti na za bakharesa ndo maana unaonewa...
Maongezi ya Rostam Aziz jana ni recorded. Mwanzoni tuliambiwa atakuwa Live kupitia UTV.
Hatuwezi kumchagulia jinsi ya kufikisha kwa jamii ujumbe aliokusudia.
Wapo makasuku humu wanamwandama Polepole kuwa anazungumza akiwa mafichoni utadhani hiyo ni hoja ya msingi.
Sasa mimi nauliza kati ya...
Huyu mtu ameshachafuka sana na ni hatari kwa kundi zima kwani kuna siku anaweza kutakiwa kuwataja wenzake katika kundi.
Kwa msingi huo, mimi naona yuko hatarini kwasababu wanasiasa anaoshirikiananao wanaweza kumtanguliza ili kupoteza ushahidi kwani yeye kwa sasa ndio main suspect.
Kama ana...
Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.
Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .
Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.
Jamaa akainunua Petra...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.