risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake mlioolewa tuwekeni wazi tunapowatongoza. Riziki ulinifanya kukoswakoswa na risasi kwakuwa ulinidanganya uko single

    Nilikosa kosa risasi kisa mke wa mtu. Namkumbuka na picha yake ninazo. Sasa kuna mtandao mmoja unaitwa mygamma.com nilipata msichana mmoja anaitwa Riziki, nikamdanganya nasoma IFM Kumbe nilikuwa form six shule moja maarufu hapo Tanzania. Tukawa marafiki sasa akaanza kuuliza kwamba we ni kabila...
  2. JamiiForums Tanzania Aliyepigwa risasi ya Jerry Muro atoboa siri

    YADHIHIRIKA MURO ANATEMBEA NA KIFO MKONONI, ALAZIMIKA KUISHI MAFICHONI Yule Daktari aliyepigwa risasi iliyomkosa mtangazaji wa habari za uchunguzi wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC1) Jerry Muro, Dk. Paul Andrew ametoboa siri kwa kusema kuwa kitendo chake cha kujeruhiwa mguuni kwa risasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…