Nimeona watu wengi wameshtushwa na hii report ya CNN iliyoonyesha mauaji ya mo29, ila kimsingi hako kaji ripoti na kadogo mno, na mauaji ni mengi
Ulimwengu hautajua hata theluthi ya ukatili uliofanywa na police na vikosi vya mauaji
Mfano Mwanza wameuliwa na watu wengi tena kikatili, hospital...