Kikao Cha Kamati ya Fedha cha Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) limevurugika baada ya wajumbe wa kamati ya fedha kugundua matumizi mabaya ya Fedha ambayo haikupewa idhini na kamati hiyo, pamoja na kamati tendaji.
Kikao hicho kilipata dosari kwa kuwa mabosi wakuu wa RT hawakuhudhuria , na...