Katika kipindi ambacho majeraha bado ni mabichi na hasira ni kali, swala la kusikia taarifa nyingine ama ufafanuzi kutoka serikalini linaleta kichefuchefu. Kwa haraka haraka, wengi wetu hatutaki kabisa kusikia chochote kutoka kwa Samia na genge lake.
Lakini tukiangalia kiundani na...