rc kenani kihongosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    RC Kenani aongoza jogging ya Samia Connect Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenani Kihongosi ameongoza Jogging la hiari katika hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Samia Connect ambalo linaanza katika Viwanja vya Mgambo kuzunguka baadhi ya maeneo jijini Arusha. • Soma pia: Mchengerwa Awataka Ma RC, DC Kuongoza Jogging Kwenye Maeneo Yao
  2. Mkalukungone Mwamba

    RC Arusha Apiga Marufuku Ada ya Matumizi ya Vyoo Hospitali ya Mount Meru

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi, amepiga marufuku kutozwa fedha kwa wananchi wanaotumia vyoo vilivyopo katika eneo la mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha-Mount Meru kufuatia malalamiko ya wananchi kwamba wamekuwa wakitozwa shilingi 200 kwa kila matumizi. Akizungumza Agosti...
Back
Top Bottom