rc kanali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    RC Kanali Mtambi azindua miradi ya Bilioni 19.9 Musoma

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Alfred Mtambi, ameongoza hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa miradi ya uboreshaji miundombinu katika Manispaa ya Musoma chini ya Mradi wa Tanzania Cities Transforming Infrastructure and Competitiveness Project (TACTIC), unaofadhiliwa na Benki ya Dunia...
  2. J

    RC Kanali Evans Alfred Mtambi: Viuatilifu karibu Tani 2,000,000 na mbole Tani 10,000 zimepokelewa mkoa wa Mara miaka 4 ya Rais Samia

    Mkuu wa mkoa wa mara kupitia waandishi wa habari amesema yafuataya ,Serikali ya Awamu ya Sita imewekeza kwenye umwagiliaji wa mpunga: Kijiji cha Mariwanda (Bunda) – TSh milioni 213.05 na Kata ya Rabour (Rorya) – TSh milioni 982.82. Lengo ni kuongeza uzalishaji na kipato cha wanufaika. Pia...
  3. J

    GE2025 RC Kanali Evans Alfred: Bajeti ya Ujenzi Mkoa wa Mara imeongezeka kutoka TZS7bn mwaka 2020 hadi TZS245bn, bajeti ya TARURA imeongezeka mara 4

    == Chini ya Rais Samia, bajeti ya TARURA Mkoa wa Mara imeongezeka kutoka shilingi bilioni 6.92 mwaka 2020/2021 hadi bilioni 25.71 mwaka 2024/2025, ikisaidia kufungua barabara mpya, kukarabati za zamani na kuwezesha upitishaji wa barabara misimu yote kwa asilimia 72.7. TANROADS imetekeleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…