“Mimi sina hatia. Sikujihusisha na kosa lolote. Mimi ni mtu mwema. Bado mimi ni rais wa nchi yangu,” alisema Maduro, mwenye umri wa miaka 63, kupitia mkalimani, kabla ya kukatizwa na Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani, Alvin Hellerstein, katika mahakama ya shirikisho ya Manhattan.
Mke wa...