Akiwa Mkoani Kagera leo Jumanne Oktoba 14, 2025, Mwenyekiti wa Kampeni ya Kitaifa ya Mama Asemewe Bw. Geofrey Kiliba amesema Ushiriki wa Vyama 18 kati ya 19 katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 pamoja na mamilioni ya Watanzania wanaohudhuria mikutano ya kampeni za Vyama mbalimbali vya siasa...
Wakuu,
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka vijana nchini kutambua nafasi yao katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, akisema matokeo ya uchaguzi huo yatakuwa na mchango mkubwa katika mustakabali wao.
Akizungumza katika kipindi cha...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini Tanzania TAHLISO Bw. Geofrey Kiliba amesisitiza umuhimu wa Wasomi na Vijana waliopo vyuoni kukemea, kukosoa na kushauri kwa kutumia maarifa na taaluma zao katika kuijenga Tanzania na kuepusha waharibifu wanaotishia kuharibu misingi ya amani...
Haka kajamaa tumegundua sio kanafunzi ka Chuo chochote Tanzania, Sio Kwa Vyuo vya TCU, Wala NACTEVET !.
Kwa Mujibu wa Miongozo ,Kanuni, Sheria Katiba zinazoongoza TAHLISO , ni umoja ambao haufungamani na Chama chochote Cha kisiasa .
Huyu Pimbi, alipoanza kujitokeza, alianza kama Genge la...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Bw. Geofrey Kiliba, amesema kuwa wadhifa wake ndani ya jumuiya hiyo haumzuii kutoa pongezi kwa viongozi wa serikali wanaotekeleza wajibu wao ipasavyo kwa manufaa ya wananchi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Kiliba alisisitiza...
Rais wa jumuiya ya wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania Bwana Geofrey Kiliba asema kwamba Mwaka 2025 ni mwaka wa Uchaguzi na hakuna anayeweza kurudisha nyuma Watanzania katika kushiriki mchakato huo muhimu ndani ya Taifa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Wakuu
Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa boom wanatoa milio 24/7.
===
Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, TAHLISO...
Jina la chawa linalenga kuwarudisha nyuma wanaopongeza juhudi za serikali, kuipongeza serikali si dhambi - rais wa tahliso
Sehemu ya Mahojiano ya Rais wa Tahliso Ndg Geofrey Kiliba na Waandishi wa kipindi cha 360 kutoka Clouds tv.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.