Mahakama ya Seoul leo Januari 16 imemhukumu Rais wa zamani wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, kifungo cha miaka mitano jela kesi, kosa likiwa ni uamuzi wake wa kutangaza sheria ya kijeshi mwishoni mwa mwaka 2024.
Hii ilikuwa mara ya kwanza kwa mahakama kusikiliza na kutoa uamuzi kuhusu makosa...